Mauzo ya haraka (POS)
Uza kwa barcode au kutafuta bidhaa, chapisha risiti papo hapo, pokea fedha taslimu, M-Pesa au benki.
DukaSuite inaunganisha mauzo, stoo, matawi, wafanyakazi na ripoti za faida sehemu moja — kwenye kompyuta au simu yako.
Zana rahisi zinazokuokolea muda na kukuonyesha faida yako halisi.
Uza kwa barcode au kutafuta bidhaa, chapisha risiti papo hapo, pokea fedha taslimu, M-Pesa au benki.
Fuatilia kila bidhaa, pata tahadhari bidhaa zikikaribia kuisha, na hamisha mzigo kati ya matawi.
Jua mauzo, matumizi na faida ya kila siku, mwezi au bidhaa — bila hesabu za mkono.
Simamia maduka yako yote kutoka sehemu moja, kila tawi na stoo yake.
Kila mfanyakazi na akaunti yake. Wewe unaamua anachoona na anachoweza kufanya.
Tuma katalogi ya bidhaa zako, wateja waagize moja kwa moja kupitia WhatsApp.
Tengeneza ankara, nukuu na risiti zenye nembo na muhuri wa biashara yako.
Inafanya kazi kwenye kifaa chochote chenye intaneti. Hakuna cha kusakinisha.
Kila biashara ina mfumo wake. Ni wewe na wafanyakazi uliowaruhusu tu wanaoona data yako.
Tuambie kuhusu biashara yako na kifurushi unachotaka.
Timu yetu inakuwekea mfumo, bidhaa na wafanyakazi, kisha inakufundisha.
Uza, fuatilia stoo na ona faida yako — uza bila stress.
Lipa kwa mwezi au kwa mwaka — ukilipa kwa mwaka unaokoa zaidi.
For small shops getting started
Unaokoa TZS 30,000 kwa mwaka
Au TZS 150,000 kwa mwaka — okoa TZS 30,000
Chagua Basic Chagua BasicFor growing businesses with more staff
Unaokoa TZS 60,000 kwa mwaka
Au TZS 300,000 kwa mwaka — okoa TZS 60,000
Chagua Advanced Chagua AdvancedEverything, for multi-branch businesses
Unaokoa TZS 120,000 kwa mwaka
Au TZS 600,000 kwa mwaka — okoa TZS 120,000
Chagua Premium Chagua PremiumBei zote ni kwa Shilingi za Kitanzania (TZS). Mafunzo na kukuandalia mfumo yamejumuishwa.
Baadhi ya biashara zilizochagua DukaSuite kuendesha mauzo na stoo zao.
Hapana. DukaSuite inafanya kazi kwenye simu janja, tablet au kompyuta yoyote yenye intaneti.
Ndiyo. Kila biashara ina mfumo na hifadhidata yake, imelindwa kwa password, na ni wewe unayeamua nani aingie.
Unaweza kulipa kwa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money au benki — kwa mwezi au kwa mwaka.
Ndiyo. Bonyeza “Jaribu demo” uone mfumo ukifanya kazi, au tuombe tukuonyeshe.
Ndiyo, unaweza kupanda kifurushi wakati wowote biashara yako inapokua.
Ndiyo. Tunakufundisha wewe na wafanyakazi wako, na tunapatikana kwa simu na WhatsApp.
Jiunge leo — tunakuandalia kila kitu.
Tupigie, tuandikie WhatsApp au tutembelee.