Simamia duka lako popote ulipo. Uza bila stress.

DukaSuite inaunganisha mauzo, stoo, matawi, wafanyakazi na ripoti za faida sehemu moja — kwenye kompyuta au simu yako.

Biashara 125+ zinatumia DukaSuite

Kila kitu biashara yako inahitaji

Zana rahisi zinazokuokolea muda na kukuonyesha faida yako halisi.

Mauzo ya haraka (POS)

Uza kwa barcode au kutafuta bidhaa, chapisha risiti papo hapo, pokea fedha taslimu, M-Pesa au benki.

Stoo bila hasara

Fuatilia kila bidhaa, pata tahadhari bidhaa zikikaribia kuisha, na hamisha mzigo kati ya matawi.

Ripoti za faida

Jua mauzo, matumizi na faida ya kila siku, mwezi au bidhaa — bila hesabu za mkono.

Matawi mengi

Simamia maduka yako yote kutoka sehemu moja, kila tawi na stoo yake.

Wafanyakazi na ruhusa

Kila mfanyakazi na akaunti yake. Wewe unaamua anachoona na anachoweza kufanya.

Oda kupitia WhatsApp

Tuma katalogi ya bidhaa zako, wateja waagize moja kwa moja kupitia WhatsApp.

Ankara na nukuu

Tengeneza ankara, nukuu na risiti zenye nembo na muhuri wa biashara yako.

Simu, tablet au kompyuta

Inafanya kazi kwenye kifaa chochote chenye intaneti. Hakuna cha kusakinisha.

Salama na ya kuaminika

Kila biashara ina mfumo wake. Ni wewe na wafanyakazi uliowaruhusu tu wanaoona data yako.

Anza kwa hatua 3 rahisi

  1. 1

    Jaza fomu

    Tuambie kuhusu biashara yako na kifurushi unachotaka.

  2. 2

    Tunakuandalia mfumo

    Timu yetu inakuwekea mfumo, bidhaa na wafanyakazi, kisha inakufundisha.

  3. 3

    Anza kuuza

    Uza, fuatilia stoo na ona faida yako — uza bila stress.

Bei rahisi, bila gharama zilizofichwa

Lipa kwa mwezi au kwa mwaka — ukilipa kwa mwaka unaokoa zaidi.

Basic

For small shops getting started

TZS150,000/mwaka
TZS15,000/mwezi

Unaokoa TZS 30,000 kwa mwaka

Au TZS 150,000 kwa mwaka — okoa TZS 30,000

Chagua Basic Chagua Basic
  • POS sales (barcode, receipt printing)
  • Dashboard
  • Stock management
  • Basic reports
  • Up to 5 staff
  • Up to 1 branches
  • Unlimited suppliers & customers
  • Projects & attendance
  • Invoices & quotations
  • WhatsApp orders
  • SMS receipts
  • Accounting
  • Payroll
  • CRM

Premium

Everything, for multi-branch businesses

TZS600,000/mwaka
TZS60,000/mwezi

Unaokoa TZS 120,000 kwa mwaka

Au TZS 600,000 kwa mwaka — okoa TZS 120,000

Chagua Premium Chagua Premium
  • POS sales (barcode, receipt printing)
  • Dashboard
  • Stock management
  • Advanced reports
  • Unlimited staff
  • Up to 20 branches
  • Unlimited suppliers & customers
  • Product catalogue
  • WhatsApp order integration
  • SMS receipt integration
  • Invoices & quotations
  • Projects & attendance
  • Accounting features
  • Premium support
  • CRM

Bei zote ni kwa Shilingi za Kitanzania (TZS). Mafunzo na kukuandalia mfumo yamejumuishwa.

Wanaotuamini

Baadhi ya biashara zilizochagua DukaSuite kuendesha mauzo na stoo zao.

SOLENE SHOP
Mshua Decoration
RAGUMO ENTERPRISE
SUPER AUTO SPARES & ACCESSORIES
Jgm Services
CS COMPUTERS
BM Aluminium Balcony and U-PVC
GREEN STORE
OVERDRIVE AUTOPOINT
MACHERA FOODS SUPPLIES
ANGIE SNACKS KITCHEN
MSOMALI PHONE & ACCESORIES
PRIME CHOICE MARKET
KITONGA AUTO SPARE (DSM)
WRA Automator Parts
Na wengine wengi — biashara 125+

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Je, ninahitaji kompyuta?

Hapana. DukaSuite inafanya kazi kwenye simu janja, tablet au kompyuta yoyote yenye intaneti.

Je, data yangu iko salama?

Ndiyo. Kila biashara ina mfumo na hifadhidata yake, imelindwa kwa password, na ni wewe unayeamua nani aingie.

Ninalipaje?

Unaweza kulipa kwa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money au benki — kwa mwezi au kwa mwaka.

Naweza kujaribu kabla ya kulipa?

Ndiyo. Bonyeza “Jaribu demo” uone mfumo ukifanya kazi, au tuombe tukuonyeshe.

Naweza kubadilisha kifurushi baadaye?

Ndiyo, unaweza kupanda kifurushi wakati wowote biashara yako inapokua.

Mnatoa mafunzo na msaada?

Ndiyo. Tunakufundisha wewe na wafanyakazi wako, na tunapatikana kwa simu na WhatsApp.

Tayari kuuza bila stress?

Jiunge leo — tunakuandalia kila kitu.

Wasiliana nasi

Tupigie, tuandikie WhatsApp au tutembelee.

Piga simu+255769765947 Barua pepeinfo@dukasuite.com
Ofisi yetuMakumbusho, Kijitonyama, Dar es Salaam, Tanzania
Tuandikie WhatsApp